Friday, January 21, 2011

The Making of Ruka Juu




Kuanzia Machi 2011 kwa wiki 11 mfulilizo. Kila wiki saa moja ya kuburudika, kujifunza na ku’feel ‘ maisha halisi ya washiriki. Ni shindano la wajasiriamali wachanga kutoka pande tofauti za Tanzania. Ni Ruka Juu na Fema TV Talk Show, katika vituo vya ITV na TBC1. Kuwa mmoja wa Watanzania milioni 3.4 wanaotarajiwa kuliangalia kila wiki! Ruka Juu , shindano la wa jasiriama li katika runi n ga . Jiu nge nasi na washiri ki 6 amba po wa tashindana kup ata shi lingi milioni 5 kwa ajili ya kuwek eza k wenye bia shara za o. On esho lim eja a sh angwe n a matukio kibao ya ku shtukiza! Usikose! IT V Jum amosi 12 : 30 – 1:30 Jioni TBC1 Jumap ili 3:00 – 4:00 Usiku