Thursday, December 15, 2011

Rudewa Secondary School Fema Club



Wanachama wa Klab ya Fema ya Shule ya Sekondari ya Rudewa ambayo iko katika Wilaya ya Kilosa. Wao wanaamini kwamba kijana akiitambua nafasi yake katika jamii ni chachu tosha ya kutekeleza malengo ya maendeleo ya milenia. Wewe unaonaje hiyo? Imesimama eeeh?